UTANGULIZI
Hii ni Talaonline microfinance, Taasisi binafsi ya utoaji mikopo kwa njia ya Mtandao (online)
Ofisi Kuu
P.O.BOX 6741 Rose Garden road- Mikocheni B, Kinondoni- Dar es salaam, Tanzania Karibu na data vision.

VIGEZO & MASHARTI
1– Unatakiwa kuwa mtanzania (bara au visiwani) mwenye umri kuanzia miaka 18-65.
2– Unatakiwa kujua kusoma na kuandika vizuri lugha ya kiswahili.
3– Unatakiwa kuwa na kipato angalau Laki Moja (100000/=) kwa mwezi, Ili uweze kumudu marejesho pindi unapokopa.
4-Picha Yako ( passport size) au picha ndefu, zote zinapokelewa.
5-Picha ya kitambulisho chako, Endapo huna kitambulisho chochote hakikisha unakuwa na namba ya NIDA. Unatakiwa kuwa na kitambulisho kimoja kati ya (a): kitambulisho Cha mpiga kura, (b) leseni ya udereva, (c) kitambulisho Cha nida, (d) kitambulisho Cha Mzanzibari, (e) leseni ya biashara, (f) passport ya kusafiria, au cheti chanmasomo.
6-Unatakiwa kuwa na Pesa ya akiba pindi unapomaliza kujaza fomu. Malipo ya akiba ni sharti la muhimu na lazima. Hivyo Ili kuepuka usumbufu usijaze fomu bila ya kuwa na Pesa ya akiba.

SABABU KWANINI ULIPE AKIBA KABLA YA MKOPO
Utaratibu wetu sisi Tala, ni sharti la lazima kwa Kila anaetaka mkopo,baada ya kujaza fomu anatakiwa kufanya malipo ya akiba kwa sababu zifuatazo.
(A):Malipo hayà huwa kama sehemu ya dhamana ( security ya mkopaji).
(B): Malipo hayà huchagiza mzunguko mzuri wa Pesa ndani ya taasisi kwani Endapo mkopo utatoka bila kuwapo Rejesho ndani ya mwezi mmoja itapelekea upungufu mkubwa wa mzunguko wa pesa kwa kuzingatia kuwa yapo matumizi ya taasisi kwa mwezi kama vile kulipa mishahara watumishi.

VIWANGO VYA MKOPO NA AKIBA ZAKE​
Mikopo yetu inatolewa kwa watu wote wenye uhitaji wa mikopo (bara & visiwani).
Mkopo inatolewa kuanzia Shilingi Laki tatu (300000/=) mpaka shilingi milioni sita (6000000/=)
MKOPO WA LAKI TATU (TZS 300,000)
AKIBA 👉 unayotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TZS 36,000
MAREJESHO 👉Muda wa kurejesha mkopo huu ni miezi sita , Kila mwezi utalipa TZS 50,000
MKOPO WA LAKI NNE (TZS 400,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TZS 46,000
MAREJESHO 👉Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 8 Kila mwezi Utarudisha TZS 50,000
MKOPO WA LAKI TANO (TZS 500,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 56,000
MAREJESHO 👉 Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 10, Kila mwezi Utarudisha TSh 50,000
MKOPO WA LAKI SITA (TZS 600,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 66000
MAREJESHO 👉Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 12, Kila mwezi Utarudisha TSh 50000
MKOPO WA LAKI SABA (TSZ 700,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 76000
MAREJESHO 👉, Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 14 , Kila mwezi Utarudisha TSh 50000
MKOPO WA LAKI NANE (TZS 800,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni 86000
MAREJESHO 👉 Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 16 , Kila mwezi Utarudisha TSh 50000
MKOPO WA LAKI TISA (TZS 900,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 96000
MAREJESHO 👉 Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 18, Kila mwezi Utarudisha TSh 50000
MKOPO WA MILIONI MOJA (TZS 1,000,000/=)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 116000
MAREJESHO 👉 Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20 , Kila mwezi Utarudisha TSh 50000
MKOPO WA MILIONI MBILI (TZS 2,000,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 226000
MAREJESHO 👉 Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20, Kila mwezi Utarudisha TSh 100000
MKOPO WA MILIONI TATU (TZS 3,000,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 336000
MAREJESHO 👉 Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20, Kila mwezi Utarudisha TSh 150000
MKOPO WA MILIONI NNE (TZS 4,000,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 446000
MAREJESHO 👉 Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20 Kila mwezi Utarudisha TSh 200000
MKOPO WA MILIONI TANO (TZS 5,000,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 556000
MAREJESHO 👉 Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20 Kila mwezi Utarudisha TSh 250000
MKOPO WA MILIONI SITA (TZS 6,000,000)
AKIBA 👉 Kiasi utakachotakiwa kulipa Ili kupata mkopo huu ni TSh 666000
MAREJESHO 👉 Muda wa kurudisha mkopo huu ni miezi 20 Kila mwezi Utarudisha TSh 300000

NOTE :
Katika marejesho unaruhusiwa kurejesha mapema (kudouble marejesho) kabla ya muda tuliopanga, Endapo utapata Pesa yote na Ili uweze kumaliza Rejesho mapema na Ili uweze kukopa tena.

RIBA KATIKA MIKOPO YETU
Katika mikopo yetu yote Tala tumeweka Riba ndogo ya asilimia kumi (10%) ukilinganisha na muda wa marejesho kwenye mikopo yetu, Hii ni kwa sababu tunakujali wewe mteja wetu na kuthamini uwepo wako kwetu.
Lakini pia fahamu kuwa Pesa ya Riba hupunguzwa Moja kwa moja kwenye Pesa ya akiba utakayokuwa umeweka Ili kupata mkopo ( akiba ni Riba ya mkopo wako utakaochukua).
.
